Eleza maana ya balagha huku ukitolea methali mbili kudhihirisha mbinu hii

      

Eleza maana ya balagha huku ukitolea methali mbili kudhihirisha mbinu hii.

  

Answers


KELVIN
Maswali yasiyo hitaji majibu maswali haya humchochea mtu kufikiri.
i. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
ii. Mavi usoyala wayaingiani kuku?
Methali hizi zimeundwa kwa mbinu ya swali ambalo linamhitaji mwenye kuambiwa kufikiria.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:31


Next: Eleza maana ya tashihisi
Previous: Eleza maana ya kinaya huku ukitoa mifano katika methali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions