Eleza maana ya kinaya huku ukitoa mifano katika methali

      

Eleza maana ya kinaya huku ukitoa mifano katika methali.

  

Answers


KELVIN
Kinaya ni kinyume cha matarajio au cha hali ilivyo kwa mfano.
i) Kigumba kwa nguruwe kwa mwanadamu ki uchungu.
ii) Kikiharibika cha fundi kikiongoka cha bwana swedi.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:33


Next: Eleza maana ya balagha huku ukitolea methali mbili kudhihirisha mbinu hii
Previous: Eleza mbinu ya tanakuzi huku ukitolea mifano katika methali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions