Eleza mbinu ya tanakuzi huku ukitolea mifano katika methali

      

Eleza mbinu ya tanakuzi huku ukitolea mifano katika methali.

  

Answers


KELVIN
Hii ni mbinu inayotumia maneno au kauli zinazopingana, katika tanakuzi sehemu moja ya methali huwa na maana inayopingwa na sehemu ya pili.
i) Tamaa mbele mauti nyuma.
ii) Mpanda ngazi hushuka.
iii) Pole pole ya kobe humfikisha mbali.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:34


Next: Eleza maana ya kinaya huku ukitoa mifano katika methali
Previous: Eleza maana ya vitendawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions