Eleza maana ya vitendawili

      

Eleza maana ya vitendawili.

  

Answers


KELVIN
Kitendawili ni kauli yenye fumbo ambalo hutolewa kwa hadhira hai ili ilifumbue jibu la kitendawili ndilo fumbo lenyewe.


kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:33


Next: Eleza mbinu ya tanakuzi huku ukitolea mifano katika methali
Previous: Taja sifa zozote tano za vitendawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions