Eleza mtindo wa vitendawili

      

Eleza mtindo wa vitendawili.

  

Answers


KELVIN
Vitendawili hutolewa kwa mtindo wa majibizano, majibizano haya huwa kati ya mtegaji na mteguaji na hadhira ya wasikilizaji utaratibu ulioelezwa katika muundo huzingatiwa na mtegaji na mteguaji /hadhira.
kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:37


Next: Je vitendawili huwa na umuhimu gani katika jamii
Previous: Huku uitolea mifano ya vitendawili,onyesha matumizi ya sitiari

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions