Huku uitolea mifano ya vitendawili,onyesha matumizi ya sitiari

      

Huku uitolea mifano ya vitendawili,onyesha matumizi ya sitiari.

  

Answers


KELVIN
Aghalabu, vitendawili hutumia sitiari k.m
i. Fatuma mchafu (ufagio) hapa fatuma ni sitiari ya ufagio.
ii. Saa yetu kadiri inavyotembea ndivyo inavyopunguza nguvu (moyo) saa ni sitiari ya moyo.
iii. Jani la mgomba laniambia habari zinazotoka ulimwenguni kote ( gazeti /jarida) jani la mgomba ni sitiari ya gazeti /jarida.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:38


Next: Eleza mtindo wa vitendawili
Previous: Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions