Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili

      

Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili.

  

Answers


KELVIN
Wakati mwingine, vitendawili hutumia mbinu inayoipa kitu kisicho hai sia za kibinadamu k.m
i. Akizungumza kila mtu hubabaika (radi) hapa radi imepewa sifa ya kuzungumza kama binadamu sauti kali ya radi huwaogofya binadamu.
ii. Amenifunika kote kwa blanketi lake jeusi (giza) giza limepewa sifa ya binadamu ya kumfunika mwingine.
iii. Daima nasaabisha mafarakano (ukewenza) ukewenza umerejelewa kwa nafsi ya kwanza.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:39


Next: Huku uitolea mifano ya vitendawili,onyesha matumizi ya sitiari
Previous: Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions