Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira

      

Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira.

  

Answers


KELVIN
a. Faiza akiniona ajificha (mzee kobe) kinachoashiriwa na kujificha kwa Faiza ni kobe.
b. Chonge la nyoka huuma walio mbali (ugonjwa) chonge la nyoka linaashiria ugonjwa.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:40


Next: Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili
Previous: Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions