Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha

      

Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha.

  

Answers


KELVIN
Vitendawili vinavyobuniwa kwa dhihika hutumiwa kukashifu mienendo hasi katika jamii pia hueleza sifa ya kitu kwa njia ya dharau k.m
i. Akivaa miwani hafanyi kazi vizuri (mlevi) kitendawili hiki kinakashifu ulevi
ii. Babangu amevaa koti la chuma (mzee kobe)
iii. Upara wa mwarabu unafuka moshi (chai ya maziwa )
iv. Uzi mwembamba umefunga dume kubwa (usingizi)

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:41


Next: Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira
Previous: Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions