Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili

      

Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili.

  

Answers


KELVIN
Vitendawili vya aina hii huundwa kwa hoja mbili zinazopingana k.m
i) Ajenga ingawa hana mikono (ndege) ndege hana mikono kama binadamu hata hivyo hujenga kiota.
ii) Ana meno lakini hayaumi (kichana) meno ya kichana hutumiwa kuchana wala si kuuma.
iii) Hufa ikifufuka (bahari kupwa) maji ya bahari huwa (kutoka ufukweni)na kurejea.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:41


Next: Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha
Previous: Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions