Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili

      

Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili.

  

Answers


KELVIN
Kuna vitendawili vinavyoundwa kwa tanakali za sauti .kwa mfano
i) Aliwa yuala,ala aliwa-(papa)
ii) Amezaliwa ali,amekufa ali,na amerudi ali (nywele)
iii) Mama kazaa mtoto kazao mtoto na mtoto kazaa mtoto (kuku na yai)

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:43


Next: Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili
Previous: Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions