Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti

      

Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti.

  

Answers


KELVIN
i) Chubwi’-(jiwe likianguka ndani ya maji)
ii) Prr’ mpaka ‘makka’- (utelezi )
iii) ‘Pa’funua ‘pa’funika – (nyayo wakati wa kutembea )

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:44


Next: Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili
Previous: Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions