Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili

      

Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili.

  

Answers


KELVIN
Baadhi ya vitendawili vimeundwa kwa jinsi ya kuibua taswira au picha mbalimbali.k.m
i) Nimemwona bi kizee akijitwika machicha –(Mvi)
ii) Ameingia shimoni akiwa uchi, akatoka amevaa nguo-(mbegu)

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:45


Next: Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti
Previous: Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions