Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali

      

Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali.

  

Answers


KELVIN
a. Ukichukua mama chukua mtoto –(sagio /jiwe dogo la kusagia linalopitishwa juu ya jiwe kubwa ) methali: ukivuta sagio uchukue kabisa na jiwe dogo la kusagia
b. Mzee amekufa na vyombo vimevunjikavunjika (kifo cha kiongozi husababisha matatizo ) methali :mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:47


Next: Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano
Previous: Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions