Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana

      

Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana.

  

Answers


KELVIN
i) Ni tungo fupi
ii) Huwa na maana fiche
iii) Hutumia lugha inayojenga taswira
iv) Huupata maana kulingana na jamii
v) Hufumbata ukweli Fulani wa kijamii
vi) Huweza kutumiwa katika shughuli rasmi kama vile katika maamuzi ya kesi na utoaji hotuba.
vii) Huweza kutekeleza majukumu sawa k.m kuonya kuburudisha au kunoa bongo.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:49


Next: Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali
Previous: Nini maana ya misimu?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions