Nini maana ya misimu?

      

Nini maana ya misimu?

  

Answers


KELVIN
Misimu ni semi za muda ambazo hubuniwa na kutumiwa katika mazingira maalumu katika kipindi maalumu cha wakati, msimu huitwa pia simo. Misimu inaweza kupata mashiko katika jamii na kukubaliwa kama msamiati au semi rasmi za lugha.
kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:49


Next: Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana
Previous: Misimu ina dhima gani?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions