Misimu ina dhima gani?

      

Misimu ina dhima gani?

  

Answers


KELVIN
1. Kutambulisha makundi mbalimbali ya watu
2. Huhifadhi siri za watumiaji
3. Kuibua hisia mbalimbali
4. Hukuza lugha
5. Huhifadhi historia ya jamii.
6. Hutasfidi lugha
7. Hukuza uwezo wa kufikiri au kudadisi
8. Hukuza ushirikiano na utangamano
9. Huondoa urasmi katika mazungumzo

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:50


Next: Nini maana ya misimu?
Previous: Taja sifa nne kuu za misimu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions