Eleza maana ya lakabu

      

Eleza maana ya lakabu.

  

Answers


KELVIN
Lakabu ni jina la msimbo au jina la kupanga ambalo mtu hujibandika ama hubandikwa kutokana na sifa zake za kimaumbile kitabaka, tabia au kimatendo. Aghalabu lakabu huwa neno moja au fungu la maneno lililo na maana fiche au ya kisitiari sifa zinazodokezwa katika lakabu zinaweza kuwa za kusifu, kudhalilisha au kukosoa.
kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:52


Next: Eleza njia tofauti za kuanisha misimu
Previous: What is relevance of Paulo Freire educational theory and practices in Kenya?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions