Shadda ni nini?

      

Shadda ni nini?

  

Answers


Mwaniki
Shadda ni mkazo unaotiwa katika neno. Aghalabu hutiwa kwenye silabi ya pili toka mwisho. K.M.
Bara'bara
'meza n. K.
Maneno kama, barabara, walakini hutiwa shadda kuwili.
Mfano.
Bara'bara -njia
Ba'rabara-sawasawa
Wa'lakini-dosari/kasoro
Wala-kini-kiuganishi cha kinyume
Mwageki answered the question on August 3, 2018 at 07:02


Next: Give two ways through which early agriculture spread in Africa
Previous: Onyesha shadda katika maneno yafuatayo; a]mtoto b]kibuyu c]mwalimu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions