Chagizo ni nini?

      

Chagizo ni nini?

  

Answers


Mwaniki
Chagizo ni neno au maneno yanayofafanua namna, wakati au mahali kitendo kilifanyika. Hubainishwa na uwepo wa vielezi. Kwa mfano. Mwalimu alifunza jana jioni.
Chagizo-jana jioni.
Msichana anatembea kwa madaha.
Kwa madaha-chagizo.
Mwalimu ataenda Mombasa kesho.
Mombasa kesho-chagizo
Mwageki answered the question on August 4, 2018 at 09:16


Next: State five functions of London as an urban centre
Previous: Threats and opportunities faced by business seeking expand global market article

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions