a) Lakabu si jina la mtu ni jina tu la kupangwa.
b) Lakabu aghalau huwa neno au fugu la maneno lililo na maana iliyofumbwa.
c) Lakabu huoana na sifa za mhusika inaweza kusifu kukejeli au kufanyia tashtiti tabia hasi ya mhusika lakabu baba wa taifa moja kwa moja inaashiria sifa nzuri za mhusika na kumsifu kwa upande mwingine lakabu kama kangumu inaashiria tabia ya uchoyo.
d) Lakabu hupatikana katika tanzu na vipera vingine nya fasihi simulizi kama vile sifo, malumbano ya utani na majigambo (vivugo) ambapo wahusika hujipa majina ya kupanga ya kujitapa.
e) Lakabu huundwa kwa lugha ya picha au taswira na sitiari kwa mfano, lakabu ‘nyayo’ ya Raisi mstaafu inatumia sitiari inamfananisha na nyayo za mtu hivyo kutupa taswira ya kujipata kufuata falsafa ya mtu mwingine.
f) Ingawa lakabu si jina halisi la mtu, huweza kudumu na kufanya jina halisi la mtu kusahaulika kwa mfano Sonko.
Umuhimu/dhima
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:28
- Tunga sentensi ukitumia nomino milikishi na nomino dhahania(Solved)
Tunga sentensi ukitumia nomino milikishi na nomino dhahania.
Date posted: August 4, 2018. Answers (1)
- Chagizo ni nini?(Solved)
Chagizo ni nini?
Date posted: August 4, 2018. Answers (1)
- Onyesha shadda katika maneno yafuatayo;
a]mtoto
b]kibuyu
c]mwalimu(Solved)
Onyesha shadda katika maneno yafuatayo;
a]mtoto
b]kibuyu
c]mwalimu
Date posted: August 3, 2018. Answers (1)
- Shadda ni nini?(Solved)
Shadda ni nini?
Date posted: August 3, 2018. Answers (1)
- Nini maana ya kijalizo katika sarufi ya Kiswahili?(Solved)
Nini maana ya kijalizo katika sarufi ya Kiswahili?
Date posted: August 3, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya lakabu(Solved)
Eleza maana ya lakabu.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Eleza njia tofauti za kuanisha misimu(Solved)
Eleza njia tofauti za kuanisha misimu
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Taja sifa nne kuu za misimu(Solved)
Taja sifa nne kuu za misimu
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Misimu ina dhima gani?(Solved)
Misimu ina dhima gani?
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Nini maana ya misimu?(Solved)
Nini maana ya misimu?
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana (Solved)
Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali(Solved)
Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano(Solved)
Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili(Solved)
Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti(Solved)
Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili(Solved)
Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili(Solved)
Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha(Solved)
Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira(Solved)
Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili(Solved)
Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili.
Date posted: July 30, 2018. Answers (1)