Eleza maana ya vitanza ndimi

      

Eleza maana ya vitanza ndimi.

  

Answers


KELVIN
Vitanza ndimi ni kauli au sentensi zenye maneno ambayo yana mfuatano wa sauti zinazotatanisha kimatamshi.Vitanza ndimi huundwa kwa maneno yenye sauti zinazokaribiana sana kimatamshi kimsingi, katika jamii nyingi za kiafrika watu hufurahia kucheza na maneno kama njia ya burudani. Watoto kwa mfano, wana mazoea ya kucheza na maneno na sauti katika michezo na nyimbo zao
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:29


Next: Lakabu zina umuhimu gani katika jamii
Previous: Vitanza ndimi huwa na dhima gani katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions