Eleza dhima ya mafumbo

      

Eleza dhima ya mafumbo.

  

Answers


KELVIN
a) Hukuza uwezo na wepesi wa kufikiri ili kufumbua fumbo ni lazima mtu afikiri kwa makini na wakati mwingine kwa upesi.
b) Hustawisha ubunifu fumbo hufumbuliwa kwa kuoanisha yaliyomo katika fumbo, tajiriba na mazingira hivyo mtu hutumia kiwango fulani cha ubunifu ili kupata maana aidha shughuli ya kufumbua huhitaji watu kuwa wabunifu.
c) Hukuza maarifa ya kukabiliana na changamoto na kutumia mantiki kusuluhisha mambo.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:36


Next: Eleza uhusiano uliopo baina ya mafumbo na chemsha bongo
Previous: Eleza maana ya nahau

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions