Eleza dhima ya nahua katika fasihi

      

Eleza dhima ya nahua katika fasihi.

  

Answers


KELVIN
a) Nahau hukuza lugha, nahau huyapa maneno maana tofauti na maana ya kawaida kwa njia hii hupanua msamiati wa lugha.
b) Nahau huipa lugha, badala ya kutumia maneno yaliyozoeleka, nahau hutumiwa kukoleza ladha ya lugha.
c) Nahau pia hutumiwa kupunguza ukali wa jambo linalorejelewa k.m jicho la nje-uasherati.
d) Nahau huweza kutumika pia kuhifadhi siri ili wanatengwa wasielewe, si watu wote wanaoelewa maana ya nahau zote.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:38


Next: Eleza maana ya nahau
Previous: Eleza maana ya misemo huku ukitolea mifano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions