Eleza kutazama kama njia ya kukusanya fasihi

      

Eleza kutazama kama njia ya kukusanya fasihi.

  

Answers


KELVIN
Mkusanyaji anaweza kushuhudia kwa macho fasihi fulani ikiendelezwa hapo atashuhudia mwenyewe bila kushiriki baadaye anaweza kuandika ili kuhifadhi.Mbinu hii hutumika zaidi katika utafiti wa maigizo.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:45


Next: Fafanua kurekodi kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi
Previous: Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions