Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi

      

Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi.

  

Answers


KELVIN
a) Ni rahisi kwa mtafiti kurekodi kwani hashiriki utendaji
b) Mafiti hupata habari za kutegemewa zaidi hasa anapotumia kinasasauti kurekodi moja kwa moja.
c) Mtafiti anaweza kukaa mahali asipoonekana na kushuhudia utendaji halisi hivyo utendaji hautaathiriwa k.m kuwa na wasiwasi kwa ugeni wa mtafiti.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:46


Next: Eleza kutazama kama njia ya kukusanya fasihi
Previous: Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions