Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji

      

Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji

  

Answers


KELVIN
Ni fomu yenye maswali yaliyochapishwa ili kukusanya habari fulani huandaliwa na mkusanyaji wa data na kutumwa au kupelekwa kwa mhojiwa au atakayejaza hojaji ni za aina mbili.
a) Hojaji funge
Humfunga mhojiwa kwa majibu fulani tu kila swali huwa na orodha ya majibu na mhojiwa huhitajika kuweka alama tu kwa lile analoona kuwa jibu sahihi
b) Hojaji wazi/huru
Aina hii ya hojaji huwa na maswali ambayo yanahitaji majibu ya maelezo mhojiwa hutoa maoni yake.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:47


Next: Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi
Previous: Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions