Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi

      

Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi

  

Answers


KELVIN
a) Hojaji huwa na maswali yanayojibiwa na kikundi lengwa mtafiti anaweza kulenga watambaji ngano au walumbi
b) Huweza kutumiwa moja kwa moja na mkusanyaji kwa anyehojiwa hivyo mtafiti humwelekeza mhojiwa namna ya kujibu.
c) Hojji huweza kutumwa kwa mhojiwa bila kuwepo kwa mtafiti. Mhojiwa husoma na kujaza hojaji bila mwongozo wa mtafiti (aina hii ndiyo iliyozoeleka zaidi )

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:49


Next: Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji
Previous: Umuhimu wa hojaji zinapotumiwa kukusanya fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions