Umuhimu wa hojaji zinapotumiwa kukusanya fasihi

      

Umuhimu wa hojaji zinapotumiwa kukusanya fasihi.

  

Answers


KELVIN
a) Huwa na gharama ya chini zaidi.
b) Mtafiti huweza kusikia iidadi kubwa ya watoaji habarikwa kipindi kifupi kwani huweza kutumiwa kwa posta.
c) Huweza kutumika katika mahojiano kama mwongozo.
d) Humpa mhojiwa muda wa kuwaza na kuchunguza.
e) Kwa kawaida , hojaji hazina athari za mtafiti kwani aghalabu mtafiti hayupo zinapojazwa .Huweza kubadilishwa kulingana na kiwango cha wajazaji au wahojiwa.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:50


Next: Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi
Previous: Eleza sababu ambazo zinafanya hojaji zisitumiwe kukusanya fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions