Eleza matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi fasihi kisha utaje umihimu wake

      

Eleza matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi fasihi kisha utaje umihimu wake.

  

Answers


KELVIN
Mkusanyaji wa data ya fasihi simulizi anaweza kutazama au kushiriki na baadaye akaandika aliyoyashuhudia aidha anaweza kuandika wakati maelezo, masimuulizi au sanaa yenyewe inapoendelezwa iwapo anatazama. Hata hivyo vifaa hivi vya kukusanya fasihi simulizi vina udhaifu.
Umuhimu wa maandishi.
a. Data kama vile hadithi, huhifadhiwa kama ilivyotambwa hivyo si rahisi kusahauliwa mashairi na ngano nyingi zimeandikwa vitabuni.
b. Huweza kufikia vizazi vingi kwani maandishi hudumu.
c. Si ghali kama baadhi ya mbinu nyinginezo k.m video
d. Si rahisi kufisidiwa au kupotea, hasa zikiandikwa katika vitabu hadithi, methali na vitendawili vingi vimehifadhiwa hivi.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:56


Next: Taja sababu ambazo wewe kama anayekusanya kazi ya fasihi zingechnagia kutotumia mahojiano
Previous: Udhaifu unakabili matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi data

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions