Vinasasauti vinatumika kuhifadhi data ya fasihi kwa sababu gani

      

Vinasasauti vinatumika kuhifadhi data ya fasihi kwa sababu gani.

  

Answers


KELVIN
a. Sauti ya mhojiwa /fanani huweza kuhifadhiwa.
b. Sifa ya uhai wa fasihi simulizi huhifadhiwa kwani kinasasauti hunasa sifa kama vile za kidatu,toni na kiimbo cha mtambaji.
c. Mkusanyaji wa fasihi simulizi anaweza kurudia kusikiliza uwasilishaji au mahojiano iwapo hakuelewa .sifa hii haipatikani katika maandishi.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:58


Next: Udhaifu unakabili matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi data
Previous: Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions