Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi

      

Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi.

  

Answers


KELVIN
a) Kinasasauti huhitaji nguvu za umeme au betri hivyo hakiwezi kutumiwa katika sehemu zisizo na huduma hizi aidha nguvu za umeme zikikosekana kabla ya utafiti kukamilka utafiti utaathirika. Mtafiti atalazimika kuanza utafiti wake.
b) Kinasasauti hakiwezi kumnasa mtambaji wala uigizaji wake, watu wanaotumia kazi iliyorekodiwa basi hukosa ile taathira ambayo inaibuliwa na kukabiliana ana kwa ana na mtambaji.
iv) Baadhi ya wahojiwa au mfanani wasitambe ikiwa wanajua kuwa wanarekodiwa, mtafiti anaweza kupata data ya kutegemewa kama alivyotarajia kuipata.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:59


Next: Vinasasauti vinatumika kuhifadhi data ya fasihi kwa sababu gani
Previous: Filamu zina changamoto kadhaa ambazo hutatiza matumizi yake kuhifadhi fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions