Filamu zina changamoto kadhaa ambazo hutatiza matumizi yake kuhifadhi fasihi

      

Filamu zina changamoto kadhaa ambazo hutatiza matumizi yake kuhifadhi fasihi.

  

Answers


KELVIN
a) Ni njia ghali ya kuhifadhi data
b) Data hii huweza kufisidiwa, hivyo kutofaidi waliolegwa
njia nyingine za kisasa ambazo hutumiwa kuhifadhia na kuendeleza fasihi simulizi ni;
i. Diski za kompyuta: mdaki, diski mweko (hard disk), kadi simaki (memory card) kadiwia/mkamimo(flash disk)
ii. Magazeti k.m hadithi huandikwa mara nyingine gazetini.
iii. Michezo ya kuigiza inayopeperushwa moja kwa moja kupitia runinga na redio na mashirika ya uigizaji
iv. Tamasha za muziki zinazofanywa shuleni kila mwaka.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:02


Next: Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi
Previous: Ukusanyaji na uhifadhi wa fasihi ni muhimu kwa sababu zipi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions