Nini maana ya silabi?

      

Nini maana ya silabi?

  

Answers


KELVIN
- Ni sauti moja au zaidi zinazotamkiwa kama fungu moja la sauti.
- Silabi ni kipashio cha utamkaji ambacho hutumiwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
- Tamko, pigo, tamshi.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:05


Next: Ukusanyaji na uhifadhi wa fasihi ni muhimu kwa sababu zipi
Previous: Nini maana ya shadda au mkazo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions