Nini maana ya shadda au mkazo

      

Nini maana ya shadda au mkazo.

  

Answers


KELVIN
? Mkazo unaowekwa kwenye silabi fulani ya neno ikiwa imetamkwa kwa msisitizo.
? Alama ya ritifaa hutumiwa kutambulisha shadda.
? Huwekwa kwenye silabi ya pili kutoka ya mwisho, kwenye vitenzi vishirikishi vya silabi moja au kubadilisha maana ya neno.
? ka’lamu, I’mba, thu’mni, ‘leta, n.k.
? Kitabu ‘ki mezani.
? Bara’bara (njia), ba’rabara (sawasawa), wala’kini (lakini), wa’lakini (kasoro/dosari/ila)

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:07


Next: Nini maana ya silabi?
Previous: Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions