Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili

      

Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili.

  

Answers


KELVIN
a) Irabu
? Sauti ambazo hutamkwa kwa ulaini bila hewa kuzuiliwa katika ala za sauti.
b) Konsonanti
? Sauti ambazo wakati wa kutamkwa hewa huzuiliwa katika ala za sauti.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:08


Next: Nini maana ya shadda au mkazo
Previous: Taja aina tofauti za ala za sauti.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions