Taja aina tofauti za ala za sauti.

      

Taja aina tofauti za ala za sauti.

  

Answers


KELVIN
a) Ala tuli
? Ambazo hazisogei mtu akitamka k.m. meno, ufizi, kaa kaa gumu, kaa kaa laini na koo/koromeo.
b) Ala sogezi
? Ambazo husogea mtu akitamka k.m. midomo na ulimi.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:09


Next: Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili
Previous: Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions