Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa

      

Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa.

  

Answers


KELVIN
a) a ni ya katikati na chini kinywani na midomo ikiwa imeviringa.
b) e ni ya mbele na kati kinywani na midomo ikiwa imetandazwa.
c) i ni ya mbele na juu kinywani na midomo ikiwa imetandazwa.
d) o ni ya nyuma na kati kinywani na midomo ikiwa imeviringa.
e) u ni ya nyuma na juu kinywani na midomo ikiwa imeviringa.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:10


Next: Taja aina tofauti za ala za sauti.
Previous: Eleza maana ya viyeyusho

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions