Eleza maana ya viyeyusho

      

Eleza maana ya viyeyusho

  

Answers


KELVIN
? Huainishwa kulingana na inapotamkiwa, kuwepo au kutokuwepo kwa mtetemeko katika nyuzi za sauti na jinsi hewa inavyozuiliwa katika ala k.m. /p/ ni ya midomo, kipasuo na sighuna.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:11


Next: Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa
Previous: Eleza maana ya vipasuo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions