Eleza maana ya vipasuo

      

Eleza maana ya vipasuo

  

Answers


KELVIN
? Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa, huzuiliwa kabisa na kuachiliwa kwa ghafla na mpasuko mdogo kutokea.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:12


Next: Eleza maana ya viyeyusho
Previous: Eleza maana ya vikwamizo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions