Eeza maana ya vipasuo kwamizo

      

Eeza maana ya vipasuo kwamizo.

  

Answers


KELVIN
? Konsonanti ambayo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa nje kwa nguvu, huzuiliwa kabisa halafu mwanya mdogo huachwa hewa ipite kwa kukwamizwa.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:14


Next: Eleza maana ya vikwamizo
Previous: Eleza maana ya ving'ong'o au nazali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions