Kimadende ni sauti gani

      

Kimadende ni sauti gani

  

Answers


KELVIN
? Konsonanti ambayo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa, kuzuiliwa na kuachiliwa na kusababisha ncha ya ulimi kupigapiga ufizi mfululizo.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:16


Next: Kitambazi ni sauti gani?
Previous: Viyeyusho au nusu irabu ni sauti gani?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions