Viyeyusho au nusu irabu ni sauti gani?

      

Viyeyusho au nusu irabu ni sauti gani?

  

Answers


KELVIN
? Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa hewa hupitishwa katikati ya ala kwa ulaini kama katika utamkaji wa irabu.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:17


Next: Kimadende ni sauti gani
Previous: Huku ukitolea mifano, eleza aina tofauti za nomino

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions