Eleza tofauti kati ya maneno haya; a) mchuzi b) mchuuzi

      

Eleza tofauti kati ya maneno haya;
a) mchuzi
b) mchuuzi

  

Answers


Enock
mchuzi- ni kitoweo cha majimaji kilichotegenezwa kwa kuchanganya samaki,mbogamboga,nyama na viungo kama nyanya,bizari,vitunguu na mafuta

mchuuzi-mtu afanyaye biashara ya kuuza vitu rejareja
Enockjakano answered the question on August 14, 2018 at 04:10


Next: Why should pigs supplied with external niacin in their diet?
Previous: Discuss six socio-economic factors affecting food security in Kenya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions