Lugha ni himaya ya binadamu pekee. Thibitisha

      

Lugha ni himaya ya binadamu pekee. Thibitisha

  

Attachments


Answers


Esther
Lugha hutokana na sauti, na viumbe vyote vilivyo na uhai vyaweza kutoa hiyo sauti lakini hawawezi kupanga sauti hiyo kwa kuambatanisha silabi ikawa nasibu basi hivo , binadamu pekee anatoa sauti inayotoka kwenye mapafu hupitia kwenye umio wa koo ambapo hupigwapigwa kisha kwenye mdomo na kutoa sauti inayoeleweka na kuwa lugha .
Estherjeps answered the question on August 31, 2018 at 19:16


Next: Explain five measures that can be taken to curb food insecurity in Kenya
Previous: Benefits of managing ethics in an organization

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions