Tambua sifa za sentensi ya kiswahili

      

Tambua sifa za sentensi ya kiswahili.

  

Answers


KELVIN
a) Huwa na ujumbe uliokamilika.
b) Huwa na mpangilio maalum wa maneno.
c) Huwa na muundo wa kiima na kiarifu

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:49


Next: Eleza maana ya sentensi
Previous: Eleza maana ya sentensi sahili kisha utolee sifa zake

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions