Eleza maana ya sentensi sahili kisha utolee sifa zake

      

Eleza maana ya sentensi sahili kisha utolee sifa zake

  

Answers


KELVIN
? Sentensi rahisi au nyepesi.
Sifa
a) Huwa fupi.
b) Huwa na kitenzi kimoja pekee.
c) Huwasilisha dhana moja.
d) Yaweza kuwa ya neno moja au zaidi.
e) Yaweza kuwa na kiima kilichododoshwa.
? Wataenda.
? Watoto wawili wanaelekea uwanjani.
? Gachiku ni msichana mtiifu.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:51


Next: Tambua sifa za sentensi ya kiswahili
Previous: Eleza maana ya sentensi ambano huku ukitolea sifa zake

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions