Eleza maana ya sentensi ambano huku ukitolea sifa zake

      

Eleza maana ya sentensi ambano huku ukitolea sifa zake.

  

Answers


KELVIN
? Sentensi Ambatano
? Inayoundwa kwa kuunganisha sentensi sahili mbili.
Sifa
a) Huwa na vishazi huru viwili.
b) Huwa na kiunganishi.
c) Huwa na vitenzi viwili au zaidi.
d) Hutoa zaidi ya wazo moja.
e) Yaweza kuwa na viima vilivyododoshwa.
? Mwanafunzi alipita mtihani ingawa hakuwa anasoma kwa bidii.
? Maria aliendelea kupika kwa utaratibu huku akiimba wimbo.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:51


Next: Eleza maana ya sentensi sahili kisha utolee sifa zake
Previous: Eleza maana ya sentensi changamano kisha utolee sifa zake

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions