Eleza maana ya sentensi changamano kisha utolee sifa zake

      

Eleza maana ya sentensi changamano kisha utolee sifa zake.

  

Answers


KELVIN
? Sentensi Changamano
? Ambayo huwa na kishazi tegemezi kilichochopekwa ndani.
Sifa
a) Huwa na kishazi tegemezi chenye kitenzi kinachovumisha nomino kwa kuirejelea.
b) Huwa na kishazi huru kimoja au zaidi.
c) Huwa na virejeshi (amba na O) au –enye.
? Tunda alilonunua jana limeoza.
? Mwizi aliiba pesa zilizokuwa kabatini.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:53


Next: Eleza maana ya sentensi ambano huku ukitolea sifa zake
Previous: Jadili kundi nomino na kundi tenzi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions