Jadili kundi nomino na kundi tenzi

      

Jadili kundi nomino na kundi tenzi.

  

Answers


KELVIN
- Kundi Nomino ni sehemu katika sentensi inayoarifu kuhusu nomino na hutokea mwanzoni mwa sentensi.

- Kundi tenzi ni sehemu katika sentensi inayoarifu kuhusu kitenzi na hutokea mwishoni mwa sentensi

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:54


Next: Eleza maana ya sentensi changamano kisha utolee sifa zake
Previous: Eleza maana ya virai

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions